Makambi Mwaka 2018

Announced by Tarime Sda on 01 Jul 2018

Makambi yetu ya mwaka 2018 yanazinduliwa leo tarehe 01/07/2018, hivyo basi watu wote mnaombwa kuhudhuria ili kupata mibaraka ya Sikukuu za Vibanda kwa muda wa siku 7.
  Pia wale ambao bado hawajakamilisha sadaka ya kambi wanaombwa kukamilisha sadaka hiyo.

Kumbukumbu la Torati 16:17 inasema, Kila mtu na atoe kama awezavyo, kwa kadiri ya baraka ya Bwana, Mungu wako, alivyokupa.


Usikose mibaraka hiyo.


Mambo ya Walawi 23:34-36
  
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba ni sikukuu ya vibanda muda wa siku

   saba kwa Bwana.
35 Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
36 Mtamsongezea Bwana sadaka kwa moto siku saba; siku ya nane kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; nanyi mtamsongezea Bwana sadaka kwa moto; ni mkutano wa makini huu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.