Ijue Siri ya Maombi

Announced by Tarime Sda on 17 Feb 2018

Tutakuwa na mafundisho na maombi kila siku saa 12:00 asubuhi kuanzia 14/2/2018 hadi 2/3/2018 yatakayoendeshwa na Mwinjiisti Fryton Mpohate kutoka Dar es Salaam na yataambatana na Mahubiri ya TMI yalioanza tarehe 10/2/2018 na yatamalizika tarehe 3/3/2018 Wote mnaombwa kuhudhuria.