Juma la Uamsho

Announced by Tarime Sda on 20 Dec 2017

Kuanzia tarehe 24-30/12/2017 tutakuwa na Juma La Uamsho la kufunga mwaka, siku ya kufunga juma hilo tutakuwa na sadaka maalumu ya "Shukrani" kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima. Wote mnaombwa kujiandaa ili kushiriki katika juma hilo la mibaraka.