Mafunzo ya Uongozi Wa Watoto

Announced by Tarime Sda on 13 Jan 2018

Kuanzia tarehe 3/4/2018 hadi 14/4/2018 kutakuwa na semina ya mafunzo ya Uongozi Wa Watoto Ngazi ya Pili kule Singida, hivyo basi viongozi wa watoto pamoja na wale wote wanaopenda kuhudhuria katika semina hiyo wanaombwa kuanza kutoa viingilio vyao mapema ambapo kiingilio kwa mtu mmoja ni sh. 20,000/=